Hadija Selemani of Malagarasi in Kibondo won custody of her six children following a difficult marriage

Hadija Selemani of Malagarasi in Kibondo, Kigoma is seen outside the house she built next to her old one after, through legal aid, she won custody of her six children following a difficult marriage and started rebuilding her life with a job as a cook at a nearby secondary school. 

Hadija Selemani mkazi wa Malagarasi mjini Kibondo, Kigoma anaonekana nje ya nyumba aliyojenga pembeni ya nyumba yake ya zamani baada ya kupatiwa msaada wa kisheria uliomuwezesha kupata haki ya kubaki na watoto wake sita kufuatia matatizo kwenye ndoa, na kisha kuanza kuyajenga upya maisha yake kupitia kazi ya upishi kwenye shule ya sekondari.