Radio Programme

A radio programme she listened to made it possible for Iniki Kinyamagoha of Makambako, Njombe to access legal aid and eventually reclaim land that her brothers had unlawfully taken away from her and intended to sell.

Kipindi cha radio alichokisikiliza Iniki Kinyamagoha wa Makambako, Njombe kilimuwezesha kupata msaada wa kisheria na hatimaye kurejesha mikononi mwake ardhi iliyoporwa na wadogo zake kwa nia ya kuiuza.