Upendo Jamii in Kakonko

Some of the 35 women belonging to Upendo Jamii in Kakonko, Kigoma who together took full advantage of readily-accessible legal aid and eventually recovered the group’s land ownership documents that a former chair chose to withhold at the end of her term in office. 

Baadhi ya wanawake 35  wa kikundi cha Upendo Jamii kilichoko Kakonko, Kigoma waliotumia vyema uwepo wa msaada wa kisheria na hatimaye kurudisha mikononi mwao nyaraka za umiliki wa ardhi ya kikundi zilizokuwa zimezuiliwa na mwenyekiti wao wa zamani kinyume na utaratibu alipomaliza muda wake.