Tunalenga Kuongeza Usawa kwa Wote, Hasa kwa Wanawake

Tunatoa ruzuku kwa kuzingatia usawa kwa mashirika ambayo wanaunga mkono ama kutoa huduma za misaada ya kisheria, usaidizi wa kisheria na kufanya kazi za uwezeshaji wa watu masikini kama vile wanawake, watoto na wanaume.

Shughuli Zetu? Ruzuku

Kuhusu Legal Services Facility

Tanzania imesaini mikataba kadhaa ya kikanda na kimataifa kuhusu masuala ya Haki za Binadamu huku ikitekeleza baadhi ya sera na sheria nzuri zinazolenga kuongeza upatikanaji wa usawa, kuunga mkono na kulinda haki za binadamu, zikiwemo haki za wanawake. Hata hivyo, wanawake bado wanakabiliwa na changamoto kadhaa kuanzia ngazi ya familia mpaka kwa jamii kiujumla.

  Zaidi  

TunachofanyaKutoa ruzuku

Ruzuku zinazozingatia matokeo zina lengo la kurahisisha uwezeshaji kisheria pamoja na kuongeza juhudi za kulinda haki za wanawake kuhusu ardhi, mali, usalama na ulinzi. Utoaji wa ruzuku unasaidia wabia wetu kupanuka na . . .

Jifunze zaidi  

Uwezo wa maendeleo

LSF inasaidia watoa msaada wa Kisheria kitaasisi na kiufundi, jambo ambalo linasaidia katika uhamasishaji wa rasilimali. Mchango zaidi ni kuongeza uwajibikaji, uwazi na ubora wa utoaji wa msaada wa Kisheria...

Jifunze zaidi  

Ubia, kuwa na mtandao na kutafuta fedha

Hii inalenga kuthibitisha na kurahisisha mchango wa LSF kwa kuanzisha rasilimali fedha na kufanya vituo vya utaalam ili viweze kufikika kwa urahisi. Hii ni pamoja na kusaidia mitandao ya msaada wa Kisheria na ushirikiano

Jifunze zaidi  
Je, unahitaji msaada wa kisheria?

MawasilianoMaswali ya Jumla

The Legal Services Facility (LSF)
P. O. Box 31480
Nyati Street, Bima Road, Mikocheni B
Dar es Salaam, Tanzania.
Email : info@lsftz.org
Telephone : +255 22 278 1061

Mawasiliano

Robert Zephania
P. O. Box 31480
The Legal Services Facility (LSF)
Dar es Salaam, Tanzania.
Email : robert.zephania@lsftz.org
Telephone : +255 22 278 1061
Mobile : +255 764 991 816

Miradi

Scholastica Jullu
P. O. Box 31480
The Legal Services Facility (LSF)
Dar es Salaam, Tanzania.
Email: scholastica.jullu@lsftz.org
Telephone : +255 22 278 1061
Mobile : +255 767 220 173

Fedha na Usimamizi

Bonney Majila
P. O. Box 31480
The Legal Services Facility (LSF)
Dar es Salaam, Tanzania.
Email : bonney.majila@lsftz.org
Telephone : +255 22 278 1061
Mobile :+255 754 433 932